Popular posts from this blog
This is your chance to choose your all-time World Cup XI - and share it with friends
HATIMAYE SOKO LA MWANJELWA JIJINI MBEYA KUKAMILIKA NDANI YA MIEZI MINANE IJAYO.
SOKO JIPYA LA MWANJELWA.... BAADA ya kusuasua kwa muda mrefu kukamilika kwa ujenzi wa Soko la Kimataifa la Mwanjelwa jijini Mbeya,kulikotokana na Mkandarasi aliyekuwa akijenga kushindwa kukamilisha kutokana na muda aliyopewa na kujitoa, Soko hilo limepata Mkandarasi mpya. Umaliziaji wa jengo la soko hilo unatarajiwa kuanza Julai Mosi mwaka huu baada ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya kushinda kesi dhidi ya mkandarasi wa awali kutoka Kampuni ya Tanzania Building Works ya jijini Dar es Salaam. Makabidhiano ya mradi huo kwa mkandarasi mpya kutoka Kampuni ya Nandhra Engineering & Construction Company(MD) na Meya wa Jiji la Mbeya, Athanas Kapunga, yalifanyika hivi karibuni katika majengo hayo yaliyopo Mwanjelwa jijini hapa. Akizungumza katika hafla hiyo, Kapunga alisema hatua ya Halmashauri kumkabidhi soko hilo mkandarasi huyo mpya ni baada ya yule wa awali kushindwa kukamilisha ujenzi wa soko ...
Comments
Post a Comment